1/8
Tenzi Za Rohoni screenshot 0
Tenzi Za Rohoni screenshot 1
Tenzi Za Rohoni screenshot 2
Tenzi Za Rohoni screenshot 3
Tenzi Za Rohoni screenshot 4
Tenzi Za Rohoni screenshot 5
Tenzi Za Rohoni screenshot 6
Tenzi Za Rohoni screenshot 7
Tenzi Za Rohoni Icon

Tenzi Za Rohoni

Awesomecode Tanzania
Trustable Ranking Icon
1K+Unduhan
16MBUkuran
Android Version Icon5.1+
Versi Android
2 . 2 . 1(20-02-2025)
-
(0 Ulasan)
Age ratingPEGI-3
Unduh
RincianUlasanInfo
1/8

Deskripsi Tenzi Za Rohoni

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.

Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.


Program sifa za ni kama zifuatazo:-


• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa

neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno

yaliyo ndani ya wimbo.


• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata

kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.


• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (terima kasih kepada hymnserve.com untuk

iringan).


• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu


• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.


• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza.


• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona

inafaa.


• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.


• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya

Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Tenzi Za Rohoni - Versi 2 . 2 . 1

(20-02-2025)
Apa yang baru-Imetatua app kujifunga kwa baadi ya watumiaji wa android 13 na kuendelea

Belum ada ulasan atau penilaian! Untuk meninggalkan ulasan pertama,

-
0 Reviews
5
4
3
2
1

Tenzi Za Rohoni - Informasi APK

Versi APK: 2 . 2 . 1Paket: com.awesomecodetz.tenzizarohoni
Kompatibilitas Android: 5.1+ (Lollipop)
Pengembang:Awesomecode TanzaniaIzin:6
Nama: Tenzi Za RohoniUkuran: 16 MBUnduhan: 10Versi : 2 . 2 . 1Tanggal Rilis: 2025-02-20 00:52:01Layar Minimal: SMALLCPU yang Didukung:
ID Paket: com.awesomecodetz.tenzizarohoniSHA1 Signature: 9B:3D:E9:A2:01:00:9B:3D:12:12:6B:ED:02:EF:14:85:5E:19:FB:D0Pengembang (CN): AndroidOrganisasi (O): Google Inc.Lokal (L): Mountain ViewNegara (C): USProvinsi/Kota (ST): CaliforniaID Paket: com.awesomecodetz.tenzizarohoniSHA1 Signature: 9B:3D:E9:A2:01:00:9B:3D:12:12:6B:ED:02:EF:14:85:5E:19:FB:D0Pengembang (CN): AndroidOrganisasi (O): Google Inc.Lokal (L): Mountain ViewNegara (C): USProvinsi/Kota (ST): California